Sunday, January 10, 2010

Zaidi ya 20,000 Waathirika na Mafuriko, Misaada ya Dharura Inahitajika


Idadi ya watu walioathirika na mafuriko imeendelea kuongezeka na kufikia zaidi ya watu 20,000 na katika Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro misaada ya dharura inahitajika kuokoa maisha ya wakazi wa maeneo yaliyoathirika.

No comments:

Post a Comment