Wednesday, January 20, 2010

Msichana wa India Anayevuja Damu Mara 50 Kwa Siku


Msichana Twinkle Dwivedi mwenye umri wa miaka 14 wa nchini India anasumbuliwa na ugonjwa ambao umewafanya madaktari wakune vichwa sana bila majibu. Mwili wa Twinkle huvuja damu mara 50 kwa siku kupitia kwenye macho yake, pua, masikio na kwenye nyayo zake.

1 comment:

  1. Kaka kama una mawasiliano yoyote unayoweza kunpa ya huyo binti ntafurah sana coz nataka kumsaidia.

    ReplyDelete