Wednesday, January 13, 2010

Pombe za Bure Kwa Wanaojitolea Damu


Benki moja ya damu ya Marekani imeanzisha kampeni ya 'Toa Damu Pata Bia' ambapo watu wanaojitolea damu watapewa pombe za bure ili kuwavutia watu wengi zaidi wajitolee kuchangia damu. 

No comments:

Post a Comment