Friday, January 1, 2010

Buriani Simba wa Vita


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa marehemeu Mzee Rashid Mfaume Kawawa katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar jioni hii. Mamia ya wananchi wamefurika ukumbini hapo kumuaga Sima wa Vita anayetarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Madale leo Jumamosi.

No comments:

Post a Comment