Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo Jumamosi nyumbani kwa marehemu Madale jijini Dar es Salaam.
Hii ni ratiba fupi iliyotolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. William Lukuvi.
Mh Lukuvi amewataka pia wananchi kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kuanzia majira ya saa saba mchana kumuaga aliyekuwa mpendwa wetu Simba wa Vita.

No comments:
Post a Comment