Tuesday, January 12, 2010

Mabasi 266 yaendayo kasi kuwasili Dar


Jiji la Dar
KATIKA kukabiliana na tatizo sugu la usafiri jijini Dar es Salaam, Wakala wa Usafiri wa haraka nchini (DART) unatarajia kuleta mabasi 266 kwa ajili ya kutatua tatizo hilo ambapo nauli zitakuwa zikilipwa kwa njia ya electronics.

No comments:

Post a Comment