Friday, January 8, 2010

Mama aficha watoto, ampelekea mume midoli


Mke anayedaiwa kuficha watoto aliojifungua. Picha ndogo ni midoli yake
Kimbembe cha aina yake kimeibuka katika familia moja nchini Uganda baada ya mama mmoja aliyetoka kujifungua mapacha kuficha watoto wake hao na kisha kumpelekea mumewe midoli, huku akimdanganya kuwa eti nd'o viumbe waliojaaliwa na Muumba...

No comments:

Post a Comment