Didier drogba awa changa moto kwa wachezaji wa Tanzania
Wachezaji wa ivory coast baada ya dina la mchana
Baadhi ya wachezaji wa taifa stars. toka shoto ni nizar khalfani, nsajiwa na mrisho ngasa
Kocha wa timu ya Ivory Coast, VahidHalihodzic akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchezo wao dhidi ya timu ya Taifa stars utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa leo
No comments:
Post a Comment