Monday, January 4, 2010

Ivory Cost waifunga Taifa Stars moja kwa shida


nadir haroub canavaro alikuwa na kazi moja tu, kumkaba drogba asifurukute
Ivory Cost ilijipatia bao hilo mnamo dakika ya 39 kupitia mshambuliaji wao mahiri Didier drogba.Lakini hata hivyo Taifa Staz walionyesha mpira wa kiwango kizuri cha kuweza kuwasumbua timu hiyo yenye wachezaji lukuki wanaochezea game la kulipwa ulaya. 

No comments:

Post a Comment