Sunday, January 3, 2010

Mapacha walioungana wazaliwa Zenji


Watoto Mapacha walioungana wakiwa na uzito wa kilo3 waliozaliwa katika mkesha wa Mwaka Mpya katika hospitali ya Taifa Mnazi Mmoja Unguja wakipelekwa kuhifadhiwa katika chumba maalum. Bahati mbaya mapacha hawa walifariki dunia jana katika hospitali hiyo. Mama yao yu buheri wa afya. Picha na mdau Othman Maulid Mapara


No comments:

Post a Comment