Saturday, January 9, 2010

Kitoweo cha Magufuli kutonesha kidonda cha Muungano?


Nimemsikia waziri mmoja wa Visiwani akilalamika kuwa tani 80 walizopewa Zenji si sawa na kuwa wanapaswa kupewa tani takribani 120 ya samaki wa al maarufu "Samaki wa Magufuri" ambazo ni sawa na aslimia 40% ya samaki hao waliokamatwa yapata miezi zaidi ya nane iliyopita huko bahari kuu.
Habari ndo hiyo.

No comments:

Post a Comment