Hapa ni jinsi nyumba hiyo ilivyokuwa inajengwa kwa kutumia chupa zilizounganishwa kwa ‘udongo ulaya’ .
Nyumba iliyotengenezwa kwa kutumia chupa ikiwa imekamilika. Je unaionaje? Bila shaka inavutia sana. Kama unaweza na wewe iga.
See Tanzania in Different Sight
No comments:
Post a Comment