Friday, January 8, 2010

Maaskari walioua majambazi Dar wapongezwa


Kamanda wa polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova (kushoto) akimkabidhi Sh 300,000 Koplo Mwanchumu Haji jana zikiwa ni zawadi baada ya kufanikiwa kuua majambazi watatu eneo la Magomeni Kagera juzi.

No comments:

Post a Comment