Tuesday, January 5, 2010

RIPOTI YAKO YA MWAKA 2009 IMETOKA

POLE SANA. RIPOTI YAKO KWA MWAKA
2009 IMETOKA! NA NI KAMA IFUATAVYO:-

KUOGA - D
WIVU - B
UVUMILIVU - F
ULEVI -A
UTU WEMA - C
KUKUBALIKA KATIKA JAMII - F
UCHONGANISHI - A
KUBISHA KILA JAMBO- A
UPOLE - D
KUZURURA - A
KUJITUMA - F
MAPENZI - A+
KUROPOKA - A
KUSALI - F
KUTUSI WENZIO KWENYE BLOG - A++

UNACHEKA UNAFIKIRI MAZURI?
JIREKEBISHE 2010 HII.
UMEKUWA MTOTO WA 78 KATI YA WATOTO 81.
ONGEZA BIDII.
SHULE IKIFUNGULIWA NJOO NA UNIFORM MPYA,
KALAMU NA MADAFTARI MAPYA.
Mdau Pundaboy.

No comments:

Post a Comment