Mdau wenu Mzee wa Mnyama anawatakia kila la heri katika mwaka huu mpya wa 2010
Wakati tukisherehekea mwaka mpya, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kuwa hai, kwani wengine wameaga dunia, saa, dakika na sekunde chache kabla ya kuuona mwaka mpya. Wengine wako kitandani wakiwa wagonjwa...hivyo tenda wema kama vile nawe utakufa kesho na pia fanyakazi kwa bidii kama vile utaishi milele....HERI YA MWAKA MPYA WAPENDWA!
No comments:
Post a Comment