Monday, January 4, 2010

Aliyechora katuni ya Kumkashifu Mtume Anusurika Kuuliwa



                                                              Mchora katuni Kurt Westergaard

Polisi wa Denmark wamepiga risasi na kumjeruhi raia wa Somalia ambaye alivamia nyumba ya mchora katuni wa Denmark ambaye aliamsha hasira za waislamu duniani mwaka 2006 alipochora katuni ya kumkashifu mtume Muhammad (s.a.w).

No comments:

Post a Comment