skip to main | skip to sidebar

Hi Tanzania

See Tanzania in Different Sight

About Me

My photo
pundaboy
View my complete profile

My Blog List

  • MICHUZI
    MAUREEN SIZYA AENDELEA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA
    9 hours ago
  • NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
  • Global Publishers Tanzania- Uwazi

Wednesday, January 13, 2010

Hivi ndinyo hali ilivyo nchini Haiti hivi sasa!



 


 

 



Maelfu wanahofiwa kufa kufuatia tetemeko hilo lililotokea nchini Haiti ambalo lilikuwa la kipimo cha 7.3 katika vipimo vya Ritcher.
Ripoti zinasema uharibifu mkubwa umetokea katikati mwa mji mkuu wa Port-au-Prince. Baadhi ya majengo yaliyoharibiwa vibaya ni ikulu ya rais na hospitali moja mjini humo.
Msemaji wa umoja wa mataifa mjini New York Martin Nesirkyo amethibitisha kuwa ofisi za umoja wa mataifa mjini Port-au-Prince zimeharibiwa. Amesema pia kuwa idadi kubwa ya watu wamezikwa chini ya vifusi na wengine kufa au kujeruhiwa.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hilary Clinton amesema Marekani tayari imeanza kutuma misaada ya dharura.
Wanajiolojia nchini Marekani wanasema tetemeko hilo la ardhi ndilo mbaya zaidi kuwahi kuikumba Haiti kwa miaka mia mbili. Wataalamu hao pia wametoa tahadhari ya Tsunami. 

Posted by pundaboy at 12:34 AM

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Archive

  • ▼  2010 (119)
    • ►  April (10)
    • ►  March (22)
    • ►  February (2)
    • ▼  January (85)
      • hii vip?
      • Mwanaume Mwingine Apata Mimba, Kujifungua Mwezi Ujao
      • Mtoto Aliyezaliwa Akiwa na Miguu Minne, Mikono Min...
      • KITUKO CHA LEO
      • Katuni Ya leo
      • Kula chakula kutoka chooni
      • KITUKO
      • WAAFRIKA
      • TUFANYE HESABU ZA MAISHA
      • Somo La Leo
      • Check maholi yetu yakujidai kitaa na kucheck boli
      • Ronaldo Amvunja Pua Mchezaji Mwenzake
      • Mapigano ya Waislamu na Wakristo Nigeria, Maiti 15...
      • BREAKING NEWS - Ndege ya Ethiopia Yaanguka Baharin...
      • Katuni yetu ya Leo
      • Taswira ya mwaka toka haiti
      • KALI YA MWAKA - Mtangazaji wa Italia Amfedhehesha ...
      • NANI ALISEMA ETI WAAFRIKA SI WADADISI?
      • MNAKARIBISHWA KANISANI, LAKINI MCHUNGE NDIMI ZENU ...
      • MIUJIZA KUTOKA HAITI: MTOTO WA MIAKA MITANO AKUTWA...
      • WIVU WA OBAMA
      • JK ANG'AKA
      • Mwanasiasa Zambia Atishia Kumbaka ´Mande´ Mpinzani...
      • Msichana wa Miaka 13 Kuchapwa Bakora 90 Kwa Kumsha...
      • Msichana wa India Anayevuja Damu Mara 50 Kwa Siku
      • Mtoto wa miaka miwili, mvuta sigara mdogo zaidi du...
      • Katuni yetu ya Leo
      • UMEIONA HII!? YAWAHUDUMU KUWAPA JOTO WATEJA WAO?
      • MWANAMKE MWENYE NYWELE NDEFU ZAIDI DUNIANI
      • Walinzi wa Kivita Kuzilinda Timu Zitakazoshiriki K...
      • Mama Afanya Mapenzi Mara 200 na Mtoto wa Miaka 12
      • Vibonge Kuanza Kulipishwa Nauli za Watu Wawili Kwe...
      • HUPATI CHOO MARA KWA MARA? SOMA HAPA!
      • Hali ilivyo Nchini Haiti ni Mfano wa Jahanamu
      • Mchezaji Mweusi wa Marekani Abadili Rangi ya Ngozi...
      • WCLEF ATOA MSAADA MKUBWA KWA WAHAITI WENZAKE
      • MBWA MZEE ZAIDI DUNIANI AFARIKI
      • MZEE WA MIAKA 100 AELEZEA SIRI YA MAZOEZI YAKE
      • SENEGAL YAWAKARIBISHA WATU WA HAITI
      • UBUNIFU "HUMMER HT7 MADE IN MUSOMA"
      • Mwanaume mfupi na mrefu kuliko wote duniani wakutana
      • Katuni yetu ya Leo
      • BECKHAM AONYESHA MICHORO YA 'YESU MPYA' MWILINI MWAKE
      • Pombe za Bure Kwa Wanaojitolea Damu
      • HABARI ZA KUSIKITISHA; SOFIA AFARIKI DUNIA!
      • Hivi ndinyo hali ilivyo nchini Haiti hivi sasa!
      • Mabasi 266 yaendayo kasi kuwasili Dar
      • Mtikila atupwa rumande
      • Makalio na Mapaja Makubwa ni Bora Kwa Afya
      • Haiti Yakumbwa na Tetemeko la Ardhi, Maelfu Wazikw...
      • JK na Mama Salma Kikwete watembelea majeruhi wa sh...
      • JE UMEWAHI KUONA NYUMBA ILIYOJENGWA KWA CHUPA?
      • MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA BABATI
      • Zaidi ya 20,000 Waathirika na Mafuriko, Misaada ya...
      • Shoga Azikata Nyeti za Mwanaume Aliyekataa Kumpa M...
      • Kitoweo cha Magufuli kutonesha kidonda cha Muungano?
      • Siku Matatu zilipogoma Kenya
      • Haya kazi kwenu wachimba dawa
      • Ni rafiki tu!
      • SIRI YA KUISHI MAISHA MAREFU
      • Ana Mimba ya Miezi Mitano Lakini Bado Bikira
      • Mama aficha watoto, ampelekea mume midoli
      • Mambo ya Ngeleja na mlinzi wa ATM
      • Maaskari walioua majambazi Dar wapongezwa
      • BREAKING NEWS - Basi la akina Adebayor Lamiminiwa ...
      • Anayetuhumiwa kumiliki mtandao wa zeutamu adakwa
      • Local school top in national exams
      • Kama noma na iwe noma..
      • Dah! Utoro mpaka vidudu!
      • SHULE YA MSINGI JUHUDI HUKO KIGOMA
      • RIPOTI YAKO YA MWAKA 2009 IMETOKA
      • Polisi Afukuzwa Kazi Kwa Kufanya Mapenzi Kanisani
      • Daktari wa Nigeria Azalisha Wasichana, na Auza Watoto
      • KAKOBE NA WAUMINI WAKE WAKESHA KULINDA TANESCO WAS...
      • JENGO REFU ZAIDI LAFUNGULIWA
      • Ivory Cost waifunga Taifa Stars moja kwa shida
      • Rais Mbeki apata jiko jipya
      • Aliyechora katuni ya Kumkashifu Mtume Anusurika Ku...
      • Watu 41 wala ugali wenye sumu
      • Kikwete awaweka pabaya wanaompinga
      • Mapacha walioungana wazaliwa Zenji
      • Ivory Cost waanza kambi Dar
      • Buriani Simba wa Vita
      • SIMBA WA VITA KUZIKWA LEO
      • HAPPY NEW YEAR!
  • ►  2009 (10)
    • ►  December (10)

Followers

 

Search This Blog